Content-Length: 122964 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Assam

Assam - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Assam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya Sehemu ya mji ndani ya jimbo la wa Assam
Mahali pa Assam katika Uhindi
Ramani ya Assam

Assam ni jimbo ya Uhindi.

Iko upande wa kaskazini mashariki mwa India, ikipakana na Bangladesh na Buthan.

Eneo lake ni kilomita mraba 78,438 na wakazi wake ni 31,205,576 (2011).

Mji mkuu wake ni Dispur.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Assam kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Assam

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy