Content-Length: 69986 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop

Cheikh Anta Diop - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Cheikh Anta Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake mwishoni mwa miaka ya 1940.
Uchoraji wa Cheikh Anta Diop kwa Ade Olufeko. Ilionyeshwa katika Maonyesho ya Kitamaduni ya Biashara ya Kiafrika ya Mkutano wa 16 wa Biashara ya Kiafrika huko Boston katika Shule ya Biashara ya Harvard

Cheikh Anta Diop (1923-1986) alikuwa mwanahistoria, mwanaanthropolojia na mwanasiasa nchini Senegal.

Aliandika kuhusu utamaduni wa Afrika, hasa kusini kwa Sahara. Alitaka kuandika historia ya Afrika kabla ya ukoloni.[1] Kazi ya Diop inachukuliwa kuwa msingi wa nadharia ya Afrocentricity, ingawa yeye mwenyewe hakuwahi kujieleza kama mfuasi wa Afrocentricity. Maswali aliyouliza kuhusu upendeleo wa kitamaduni katika utafiti wa kisayansi yalichangia sana mabadiliko ya baada ya ukoloni katika uchunguzi wa ustaarabu wa Kiafrika.[2]

  1. https://www.oxfordreference.com/display/10.1093/acref/9780195337709.001.0001/acref-9780195337709-e-1230
  2. Gwiyani-Nkhoma, Bryson (2006). "Towards an African historical thought: Cheikh Anta Diop's contribution". Journal of Humanities (kwa Kiingereza). 20 (1): 107–123. ISSN 2948-0094.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cheikh Anta Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Cheikh_Anta_Diop

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy