Jude Ciccolella
Jude Ciccolella | |
---|---|
Amezaliwa | 30 Novemba 1947 Burlington, Vermont, Marekani |
Miaka ya kazi | 1985 – hadi leo |
Richard Jude Ciccolella (amezaliwa tar. 30 Novemba 1947) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la Jude Ciccolella. Pia, anajulikana sana kwa kushiriki kwake katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Katika 24, kacheza kama Mike Novick, ambaye alikuwa akifanya kazi kama Mkuu wa Wafanyakazi wa Ikulu wakati wa utawala wa David Palmer na kisha baadaye katika utawala wa Charles Logan.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Filamu | Aliigiza kama | Maelezo |
---|---|---|---|
1992 | Glengarry Glen Ross | Polisi | |
1994 | The Shawshank Redemption | Guard Mert | |
1995 | Boys on the Side | Jerry | |
2002 | Star Trek: Nemesis | Cdr. Suran | |
2003 | Down With Love | McNulty | |
2004 | The Manchurian Candidate | David Donovan | |
2005 | Sin City | Liebowitz | |
2007 | Premonition | Father Kennedy | |
2008 | Julia | Nick | |
2014 | Sin City: A Dame to Kill For | Liebowitz |
Tamthiliya
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Tamthiliya | Aliigiza kama | Maelezo |
---|---|---|---|
2001–2006 | 24 | Mike Novick | Tuzo (teuliwa)— 2003 Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by an Ensemble in a Drama Series
Tuzo (teuliwa) — 2007 Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by an Ensemble in a Drama Series |
2008-2011 | NCIS | Phillip Davenport | |
2009 | Prison Break | Howard Scuderi | |
2012 | Touch | Arnie | |
2015 | Beautiful and Twisted | Detective Dalton |
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- JudeCiccolella.com - The actor's official website.
- Jude Ciccolella at the Internet Movie Database
- Jude Ciccolella at 24.wikia.com
- Mike Novick character on 24 played by Jude Ciccolella, at 24.wikia.com
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jude Ciccolella kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |