Korongo (Gruidae)
Korongo | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 4, spishi 15:
|
Korongo hawa (pia mana) ni ndege wa familia ya Gruidae wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la korongo wa familia ya Ciconiidae. Spishi nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Korongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama panya, watambaazi, amfibia au samaki, hata nafaka na matunda madogo. Spishi za korongo zinatokea mabara yote ghairi ya Amerika ya Kusini.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Balearica pavonina, Korongo-taji Mweusi (Black Crowned Crane)
- Balearica regulorum, Korongo-taji Kijivu au Ndege-chai (Grey Crowned Crane)
- Grus carunculata, Korongo Ndevu au Bwenzi (Wattled Crane)
- Grus grus, Korongo Paji-jeusi (Eurasian or Common Crane)
- Grus paradisea, Korongo Buluu (Blue Crane)
- Grus virgo, Korongo Tumbo-jeusi (Demoiselle Crane)
Spishi za mabara mengi
[hariri | hariri chanzo]- Antigone antigone (Sarus Crane)
- Antigone canadensis (Sandhill Crane)
- Antigone rubicunda (Brolga)
- Antigone vipio (White-naped Crane)
- Grus americana (Whooping Crane)
- Grus japonensis (Red-crowned Crane)
- Grus monacha (Hooded Crane)
- Grus nigricollis (Black-necked Crane)
- Leucogeranus leucogeranus (Siberian Crane)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Korongo buluu
-
Korongo tumbo-jeusi
-
Korongo-taji mweusi
-
Korongo-taji kijivu
-
Korongo ndevu
-
Korongo paji-jeusi
-
Whooping crane
-
Sarus crane
-
Sandhill crane
-
Red-crowned crane
-
Siberian crane
-
Hooded crane
-
Black-necked crane
-
Brolga
-
White-naped crane