Manaus
Mandhari
Manaus | |
Majiranukta: 3°06′00″S 60°01′00″W / 3.10000°S 60.01667°W | |
Nchi | Brazil |
---|---|
Kanda | North |
Jimbo | Amazonas |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,738,641 |
Tovuti: www.manaus.am.gov.br |
Manaus ni jina la mji mkuu wa jimbo la Amazonas, nchini Brazil. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2009, mji huu uikuwa na wakazi wapatao milioni 1.7. Mji huu upo mita 92 juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kireno) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 5 Aprili 2012 kwenye Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manaus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |