Pulkeria wa Konstantinopoli
Pulkeria wa Konstantinopoli (Konstantinopoli, 19 Januari 398/399 - Julai 453) alikuwa malkia Mkristo wa Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 450 hadi kifo chake[1][2].
Kabla ya kuwa malkia aliwahi kutawala kwa niaba ya ndugu yake mwenye umri mdogo, Theodosius II[3] .
Baada ya huyo kufariki dunia, Pulkeria alitawazwa halafu akaolewa lakini alitunza ubikira wake na kuendelea kusaidia fukara.
Katika vipindi hivyo viwili vya utawala wake alisimamia mitaguso ya kiekumeni ya Efeso (431)[4] na Kalsedonia (451)[5] iliyofafanua imani sahihi kuhusu Yesu Kristo ambayo mwenyewe aliitetea na kuieneza.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki na Waorthodoksi[6].
Sikukuu yake inaadhimishwa hasa tarehe 10 Septemba[7].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://catholicsaints.info/saint-pulcheria/
- ↑ Holum, Kenneth G. Theodosian Empresses: Women and Imperial Dominion in Late Antiquity. Berkeley and Los Angeles: University of California Press, 1982. p. 226.
- ↑ Holum, Kenneth G. Theodosian Empresses: Women and Imperial Dominion in Late Antiquity. Berkeley and Los Angeles, California: University of California Press, 1982. p. 97
- ↑ Cameron, Averil. The Mediterranean World In Late Antiquity AD 395–600 London: Routledge, 1993. pp. 22–23
- ↑ "She became a saint of the church, both in West and in the East, where centuries later the faithful of Constantinople celebrated her memorial each year on September 10, bearing in mind her piety and virginity, her works of philanthropy and construction and especially her greatest triumph: 'she caused the holy synod to take place at Chalcedon'." Holum, Kenneth G. Theodosian Empresses: Women and Imperial Dominion in Late Antiquity. Berkeley and Los Angeles: University of California Press, 1982. p. 227
- ↑ Women in World History: A biographical encyclopedia. Edited by Anne Commire and Deborah Klezmer. Waterford, Connecticut: Yorkin Publications. 1999–2002.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Cameron, Averil. The Mediterranean World In Late Antiquity AD 395–600 London: Routledge.
- Chestnut, Glenn F. The First Christian Histories: Eusibius, Socrates, Sozomen, Theodoret and Evagrius. Macon, GA: Mercer University Press. 1986 2nd Ed.
- Duckett, Eleanor. Medieval Portraits from East and West. Ann Arbor: The University of Michigan Press. 1972.
- Garland, Lynda. Byzantine empresses: women and power in Byzantium, AD 527–1204. London: Routledge. 1999.
- Holum, Kenneth G. Theodosian Empresses: Women and Imperial Dominion in Late Antiquity. Berkeley and Los Angeles: University of California Press. 1982.
- Jones, A.H.M; J.R. Martindale; and J. Morris. The Prosopography of the Later Roman Empire. Cambridge: Cambridge University Press. 1971.
- Pope St. Leo the Great. St. Leo the Great: Letters. Translated by Brother Edmund Hunt, C.S.C. New York: Fathers of the Church, Inc. 1957.
- Sozomen. The Ecclesiastical History of Sozomen: Comprising a History of the Church from A.D. 324 to A.D. 440. Translated by Edward Walford. London: Henry G. Bohn. 1855.
- Teetgen, Ada B. The Life and Times of Empress Pulcheria: A.D. 399–A.D. 452. London: Swan Sonnenshein & Co., Lim. 1907.
- Turpin, Joanne. Women in Church History: 20 Stories for 20 Centuries. Cincinnati, OH: St. Anthony Messenger Press. 1986.
- Limberis, Vasiliki. Divine Heiress: The Virgin Mary and the Creation of Christian Constantinople. London and New York: Routledge. 1994.
- Women in World History: a Biographical Encyclopedia. Edited by Anne Commire and Deborah Klezmer. Waterford, CN: Yorkin Publications. 1999–2002.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Santa Pulcheria – Santi e Beati (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |