Content-Length: 81519 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Sean_Bean

Sean Bean - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Sean Bean

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sean Bean
Sean Bean akiwa katika Tamasha la filamu la mjini Toronto.
Sean Bean akiwa katika Tamasha la filamu la mjini Toronto.
Jina la kuzaliwa Shaun Mark Bean
Alizaliwa 17 Aprili 1959,Sheffield,
England
Jina lingine Sean Bean
Kazi yake Mwigizaji
Mwigizaji wa sauti
Ndoa Debra James (m.1981)
Melanie Hill (1990-1997)
Abigail Cruttenden (1997-2000)
Georgina Sutcliffe (2008-)

Shaun Mark Bean (amezaliwa 17 Aprili 1959) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Uingereza. Bean amecheza vipindi kadhaa vya television na vilevile kuigiza sauti za katika gemu za kompyuta na matangazo ya television.

Bean amecheza safu za juu kabisa katika filamu zilizonyingi, kuanzia ujangili hadi ushujaa. Sehemu yake ya kwanza kucheza na kujipatia umaarufu mkubwa ni baaada ya kucheza kama Richard Sharpe kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama Sharpe.

Tangu hapo akawa ameanza kufahamika kimataifa kwa kuigiza kama Boromir kutoka katika filamu ya The Lord of the Rings, Martin Septim katika filamu ya The Elder Scrolls IV: Oblivion video game, Alec Trevelyan kama mpinzani wa James Bond katika filamu ya Golden Eye, mshindani kubwa wa Nicolas Cage-Ian Howe katika filamu ya National Treasure, Gaidi Sean Miller kutoka katika filamu ya Harrison Ford-Patriot Games, Captain Rich kutoka katika filamu ya Flightplan akiwa na Jodie Foster, vilevile Odysseus kutoka katika filamu ya Troy.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Sean_Bean

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy