Sululu
Sululu | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Sululu ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia ya Scolopacidae. Hata jenasi Numenius huitwa sululu, lakini jina membe linastahabiwa. Ndege hawa wana rangi zilizofifia na hawaonekani rahisi wotoni. Huruka tu wakati mtu anapowakaribia sana. Wana miguu mifupi na mdomo mrefu. Wapenda mahali majimaji na hula wadudu na nyungunyungu. Wakati wa majira ya kuzaa dume hufanya mkogo wa kubembeleza jike akishuka ghafla angani na kusabibisha manyoya maalum ya mkia kutoa uvumi kubwa. Hujenga tago kwa manyasi linalofichwa sana na jike huyataga mayai 3-4.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Gallinago gallinago, Sululu wa Ulaya (Common Snipe)
- Gallinago macrodactyla, Sululu wa Madagaska (Madagascar Snipe)
- Gallinago media, Sululu Mkubwa (Great Snipe)
- Gallinago nigripennis, Sululu wa Afrika (African Snipe)
- Gallinago stenura, Sululu Mkia-chembe (Pin-tailed Snipe)
- Lymnocryptes minimus, Sululu Mdogo (Jack Snipe)
- Scolopax rusticola, Sululu Utosi-miraba (Eurasian Woodcock)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Coenocorypha aucklandica (Subantarctic Snipe)
- Coenocorypha a. aucklandica (Auckland Island Snipe)
- Coenocorypha a. meinertzhagenae (Antipodes Island Snipe)
- † Coenocorypha barrierensis (North Island Snipe) imekwisha sasa
- † Coenocorypha chathamica (Forbes' Snipe) imekwisha sasa
- Coenocorypha huegeli (Snares Snipe)
- † Coenocorypha iredalei (South Island Snipe) imekwisha sasa
- † Coenocorypha miratropica (Viti Levu Snipe) imekwisha sasa
- Coenocorypha pusilla (Chatham Snipe)
- Coenocorypha sp. (Campbell Snipe) – spishi au spishi ndogo mpya ambaye hajafafanishwa
- † Coenocorypha sp. (New Caledonia Snipe) imekwisha sasa
- † Coenocorypha sp. (Norfolk Island Snipe) imekwisha sasa
- Gallinago andina (Puna Snipe)
- Gallinago delicata (Wilson's Snipe)
- Gallinago hardwickii (Latham's Snipe)
- Gallinago imperialis (Imperial Snipe)
- Gallinago jamesoni (Andean Snipe)
- Gallinago megala (Swinhoe's Snipe)
- Gallinago nemoricola (Wood Snipe)
- Gallinago nobilis (Noble Snipe)
- Gallinago paraguaiae (South American Snipe)
- Gallinago solitaria (Solitary Snipe)
- Gallinago stricklandii (Fuegian Snipe)
- Gallinago undulata (Giant Snipe)
- Limnodromus griseus (Short-billed Dowitcher)
- Limnodromus scolopaceus (Long-billed Dowitcher)
- Limnodromus semipalmatus (Asiatic Dowitcher)
- Scolopax bukidnonensis (Bukidnon Woodcock)
- Scolopax celebensis (Sulawesi Woodcock)
- Scolopax minor (American Woodcock)
- Scolopax mira (Amami Woodcock)
- Scolopax rochussenii (Moluccan Woodcock)
- Scolopax rosenbergii (New Guinea Woodcock)
- Scolopax saturata (Javan Woodcock)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Sululu wa Ulaya
-
Sululu wa Afrika
-
Sululu utosi-miraba
-
Wilson's snipe
-
Latham's snipe
-
South American snipe
-
Solitary snipe
-
Short-billed dowitcher
-
Long-billed dowitcher
-
Asiatic dowitcher
-
American woodcock