Utovu wa vyote
Mandhari
Utovu wa vyote ni wazo la falsafa na la teolojia linalojaribu kueleza hali ya kufikirika iliyo kinyume cha ile iliyopo, ambayo ni ya kuwepo vitu vingi katika ulimwengu unaoonekana, mbali na vingine vinavyoweza vikasadikika kuwepo, kama vile roho.
Katika hisabati, hilo linawakilishwa na tarakimu sifuri.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Nothing That Is, Robert Kaplan
- Il Nulla Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- In Search of a Cyclops, Fredrick Schermer
- Zero Ilihifadhiwa 16 Julai 2007 kwenye Wayback Machine., Charles Seife
- The Hole in the Universe Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine. K. C. Kole