Content-Length: 108514 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Uwanja_wa_michezo_wa_Allianz_Arena

Uwanja wa michezo wa Allianz Arena - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Allianz Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Allianz Arena.

Uwanja wa michezo wa Allianz Arena ni uwanja wa michezo kutoka Kaskazini mwa mji wa Munich, Ujerumani. Kwa kuwa uwanja huo huwa na kawaida ya kuchezea Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Munich arena.

Katika uwanja wa Allianz kuna timu mbili za mkoa huwa zinacheza katika uwanja huo. Moja kati ya timu hizo ni FC Bayern München na TSV 1860 München tangu msimu wa mwaka 2005/2006 wanachezea katika uwanja wao wa nyumbani.

Uwanja una viti vipatavyo 69,901. Wakati Kombe la Dunia la mwaka 2006 lililochezewa nchini Ujerumani, uwanja wa Allianz pia ulitumiwa.

Inasemekana kuwa, uwanja huo uligharimu takriban Euro milioni 340.

  • Picha zinazoonyesha baadhi ya maeneo ya uwanja Allianz Arena:


Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Allianz Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Uwanja_wa_michezo_wa_Allianz_Arena

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy