Content-Length: 63006 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Wafanyakazi

Wafanyakazi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Wafanyakazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafanyakazi wa sekta ya afya wakiwa wamevalia barakoa ya kinga dhidi ya virusi vya Corona huko Kerala, India.

Wafanyakazi (kwa Kiingereza "workers") ni watu walioajiriwa ili kufanya kazi fulani kwa ufanisi na hatimaye kupata malipo kadiri ya makubaliano na mwajiri.

Tukizungumzia wafanyakazi walioajiriwa tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wanafanya biashara za kutokana na mwongozo kutoka kwa wakuu wao wa kazi.

Pengine neno hilo linataja wafanyakazi waliojiajiri, yaani wale ambao wameanzisha biashara zao wenyewe na zinawalipa wao wenyewe kutokana na ununuzi wa biashara hizo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wafanyakazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Wafanyakazi

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy