Wikipedia ya Kijerumani
Wikipedia ya Kijerumani (Kwa Kijerumani: Deutschsprachige Wikipedia) ni toleo la Wikipedia kwa lugha ya Kijerumani. Wikipedia kwa Kijerumani ni toleo la pili la kamusi elezo ya Wikipedia, na ndilo la pili pia kwa ukubwa baada ya Wikipedia ya Kiingereza.
Wikipedia kwa Kijerumani, ndilo toleo la kwanza la Wikipedia kwa lugha nyingine tofauti na Kiingereza. Ilianzishwa mnamo tar. 16 Machi katika mwaka wa 2001. Na kwa mwezi wa Januari ya mwaka wa 2009, Wikipedia kwa Kijerumani imefikisha zaidi ya makala 859,000 na kuifanya kuwa ya pili kwa wingi wa makala ilizonazo Wiki hiyo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Wikipedia ya Kiingereza Rahisi
- Wikipedia ya Kiingereza
- Wikipedia ya Kifaransa
- Wikipedia ya Kihispania
- Wikipedia ya Kiwolofu
- Wikipedia ya Kiyoruba
- Wikipedia ya Kiafrikaansi
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kijerumani) Ukurasa wa Mwanzo wa Wikipedia kwa Kijerumani