27 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Februari ni siku ya hamsini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 307 (308 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 380 - Inatolewa Hati ya Thesalonike ambamo Kaisari Theodosius I anahimiza raia wote wa Dola la Roma kuwa Wakristo Wakatoliki
- 1885 - Hati ya ulinzi kutoka serikali ya Ujerumani kwa ajili ya mikataba ya Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani ni chanzo cha koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 272 - Flavius Valerius Constantinus ambaye atajulikana kama Kaisari Konstantino Mkuu na kumaliza dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo
- 1902 - John Steinbeck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1962
- 1926 - David Hubel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 1934 - N. Scott Momaday, mwandishi kutoka Marekani
- 1942 - Robert Grubbs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 1966 - Japhet N'Doram, mchezaji mpira kutoka Chad
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1887 - Alexander Borodin, mtunzi wa muziki Mrusi
- 1936 - Ivan Pavlov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1904
- 1989 - Konrad Lorenz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 1990 - Josephine Johnson, mwandishi kutoka Marekani
- 1998 - George Hitchings, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 2015 - Boris Nemtsov, mwanasiasa kutoka Urusi
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Gregori wa Narek, Juliani na Eunus, Besas, Honorina wa Rouen, Baldomero wa Lyon, Basili na Prokopi, Luka wa Messina, Anna Line, Gabrieli wa Bikira Maria wa Mateso n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 21 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |