Joana Maduka
Joana maduka | |
Amezaliwa | 6 Mei 1941 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | mhandisi |
Joana Maduka (amezaliwa 6 Mei 1941) ni mhandisi wa nchini Nigeria. Alikuwa mwanamke wa kwanza kwenye Baraza la usimamizi wa uhandisi nchini Nigeria (COREN)mnamo mwaka 1974.[1] Pia ni mwahandisi wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme, mwahandisi kwenye jamii nchini Nigeria na mwandisi katika Chuo cha Uhandisi cha Nigeria.[2] Ni mshiriki anaye heshimiwa kwenye taasisi ya sayansi na teknolojia nchini Nigeria mnamo mwaka 1987 na kwenye Chuo cha Teknolojia cha Yaba mnamo mwaka 1988. Aliheshimiwa kama Mwanachama wa federal republic mnamo mwaka 2008.[3] Yeye ndiye Rais wa kwanza wa kike wa COREN.[4]
Maisha na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Maduka alizaliwa mnamo Mei 6, 1941 huko Ilesha, katika jimbo la Osun.[5] Yeye ni mtoto wa kwanza wa Mr. Daniel Dada na Olufunmilayo Layinka.[3] Alikwenda Shule ya methodist huko Otapete kwa ajili ya elimu ya msingi. Alisomea Shule ya Wasichana ya 'ethodist kisha akaenda katika Shule ya Queen mnamo mwaka 1955.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Engr Mrs Maduka Mfr | APWEN". apwenlagos.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-23. Iliwekwa mnamo 2020-05-25.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ Laze; Amana, Destiny. "The Nigeria Academy of Engineering Fellows Profile :: promoting excellence in technology and engineering training and practice to ensure the technological growth and economic development of Nigeria". www.nae.org.ng (kwa English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-27. Iliwekwa mnamo 2020-05-25.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ 3.0 3.1 Amana, Destiny. "The Nigeria Academy of Engineering Fellows Profile :: promoting excellence in technology and engineering training and practice to ensure the technological growth and economic development of Nigeria". www.nae.org.ng (kwa English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-27. Iliwekwa mnamo 2022-03-16.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Joanna MADUKA – Legacy Way". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-27. Iliwekwa mnamo 2022-03-16.
- ↑ legacyway. "Joanna MADUKA – Legacy Way" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-27. Iliwekwa mnamo 2020-05-26.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joana Maduka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |