Kirundi
Mandhari
Kirundi ni lugha ya Kibantu inayotumika na watu milioni kumi au zaidi hasa nchini Burundi lakini pia katika maeneo ya jirani ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda. Ndiyo lugha ya taifa na mojawapo ya lugha rasmi za Burundi.
Wanaosema Kirundi na Kinyarwanda, lugha rasmi ya Rwanda, wanasikilizana bila shida.[1]
Kwa kiasi kikubwa sana hata Waha na Wahangaza wa Tanzania wanasikilizana nao.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ethnologue, 15th ed.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Broselow, E. & Niyondagara, A. (1990) Feature geometry and Kirundi palatalization. Studies in the Linguistic Sciences 20: 71-88.
- de Samie. (2009) Dictionnaire Francais-Kirundi. L'Harmattan. Paris.
- Goldsmith, J. & Sabimana, F. (1989) The Kirundi Verb. Modèles en tonologie. Editions du CNRS. Paris.
- Meeussen, A.E. (1959) Essai de grammaire Rundi. Annales du Musée Royal du Congo Belge, Série Sciences Humaines - Linguistique, vol. 24. Tervuren.
- Myers, S. (1987) Tone and the structure of words in Shona. PhD dissertation, University of Massachusetts, Amherst. Garland Press. New York.
- Ntihirageza, J. (1993) Kirundi Palatization and Sibilant Harmony : Implications for Feature Geometry. Master thesis, Southern Illinois University, Carbondale, Illinois.
- Philippson, G. (2003) Tone reduction vs. metrical attraction in the evolution of Eastern Bantu tone systems. INALCO. Paris.
- Sagey, E. (1986) The Representation of Features and Relations in Non-Linear Phonology. Doctoral dissertation, MIT, Cambridge, Mass.
- Zorc, R. D. & Nibagwire, L. (2007) Kinyarwanda and Kirundi Comparative Grammar. Dunwoody Press. Hyattsville.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Online English-Kirundi Dictionary with Sound and Images Ilihifadhiwa 1 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Free English-Kirundi Dictionary Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Free Kirundi-English Dictionary Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine.
- PanAfrican L10n page on Kirundi...
- Learning Kirundi Ilihifadhiwa 13 Mei 2008 kwenye Wayback Machine. (in Spanish)
- Online Kirundi/English dictionary Ilihifadhiwa 1 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine.
- USA Foreign Service Institute Kirundi basic course
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kirundi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |