Content-Length: 68863 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Maabadi

Maabadi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Maabadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maabadi ni mahali popote pa kufanyia ibada, kama vile hekalu, kanisa, msikiti, patakatifu n.k.

Pia tunaweza kusema ni sehemu iliyowekwa wakfu au ni eneo maalum lililojengwa ambalo mtu au kundi la watu kama vile kusanyiko hukutana kufanya ibada au kujifunza masomo ya kidini. Jengo lililojengwa kwa lengo hili wakati mwingine huitwa nyumba ya ibada.

Chini ya Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu[1] na Mikataba ya Geneva[2] nyumba za ibada hupewa ulinzi maalum sawasawa na ulinzi unaotolewa kwa hospitali kwa kuonyesha msalaba mwekundu.

  1. Article 16 - Protection of cultural objects and of places of worship, tovuti ya Ofisi ya Kamishna kwa Haki za Binadamu ya UM, iliangaliwa Machi 2023
  2. Article 53 - Protection of cultural objects and of places of worship, Geneva conventions of 1949, International Humanitarian Law Databases, Tovuti ya Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu, iliangaliwa Machi 2023
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Maabadi

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy