Content-Length: 47305 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Mchoro

Mchoro - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mchoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msanii wa uchoraji akichora picha

Mchoro ni neno la Kiswahili ambalo linatokana na kitenzi kuchora.

Kwa lugha ya Kiingereza neno mchoro hujulikana kama picture, ambalo Waswahili wameligeuza na kuliandika picha, hivi jinsi walivyoliandika neno hili ndivyo wanavyolitamka. Hata hivyo picha inaweza kuwa na maana nyembamba zaidi, hasa ya picha zilizopigwa kwa kamera au chombo kingine cha kielektroniki.

Kumbe mchoro unadai mtu achore mwenyewe.









ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Mchoro

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy