Content-Length: 85346 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Meja

Meja - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Meja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama kwenye sare ya meja katika jeshi la Tanzania

Meja (kwa Kiingereza: Major) ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Luteni Kanali na juu ya Kapteni au Nahodha katika jeshi la wanamaji.[1]



Vyeo vya kijeshi - Tanzania

Jenerali * Luteni Jenerali * Meja Jenerali * Brigedia * Kanali * Luteni Kanali * Meja * Kapteni * Luteni * Luteni-usu

Afisa Mteule Daraja la Kwanza * Afisa Mteule Daraja la Pili * Sajinitaji * Sajenti * Koplo * Koplo-usu

  1. "Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania". www.tpdf.mil.tz. Iliwekwa mnamo 2024-05-25.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Meja

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy