Mtwapa
Mandhari
Mtwapa | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kilifi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 48,625 |
Mtwapa ni mji wa Kenya kusini, katika kaunti ya Kilifi.
Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 48,625[1].
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mtwapa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |