Content-Length: 86700 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Percy_Bridgman

Percy Bridgman - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Percy Bridgman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Percy Bridgman

Percy Williams Bridgman (21 Aprili 188220 Agosti 1961) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za halijoto na kanieneo. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Percy Bridgman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Percy_Bridgman

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy