Content-Length: 73287 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Peter_Mansfield

Peter Mansfield - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Peter Mansfield

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Mansfield

Peter Mansfield (amezaliwa 27 Machi, 1933) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza usumaku kwa ajili ya MRI. Mwaka wa 2003, pamoja na Paul Lauterbur, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Mansfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Peter_Mansfield

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy