Content-Length: 56128 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Ukubwa

Ukubwa - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ukubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukubwa (kwa Kiingereza: "size") ni hali ya mwonekano wa kitu au vitu ambapo huenda ikawa ni mwonekano wake katika umbo, urefu, upana, kipenyo, mzunguko, eneo, kiasi, au molekuli.

Ukubwa hupimwa kwa vifaa mbalimbali vikiwa ni pamoja na rula, mizani na vipimo vingine.

Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukubwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Ukubwa

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy