Akaunti rasmi za mitandao ya kijamii ya UN
Kanusho
Umoja wa Mataifa hauhakikishi ukweli, ukamilifu, au kufaa kwa maoni yoyote yanayowekwa kwenye machapisho yake ya kijamii (blogu, mitandao ya kijamii, majukwaa/bodi za ujumbe, n.k.) Watumiaji hawapaswi kuweka maoni yenye lugha chafu, yanayokashifu, yanayotisha, ya kukera, ya kutusi, chuki au ya kutia aibu kwa mtu au kikundi chochote. Umoja wa Mataifa una haki ya kufuta au kuhariri maoni yoyote unayotizama kuwa hayafai au hayakubaliki. Timu ya UN ya mitandao ya kijamii pia hufuta maoni yanayokwenda nje ya nada inayojadiliwa ili kuendeleza mazungumzo kuhusu nada zinazowekwa kwenye ukurasa huu.