Content-Length: 146502 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Ohio

Ohio - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ohio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Jimbo la Ohio







Ohio

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Columbus
Eneo
 - Jumla 116,096 km²
 - Kavu 106,056 km² 
 - Maji 10,040 km² 
Tovuti:  http://www.ohio.gov/
Ramani ya Ohio

Ohio ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini mashariki ya Marekani bara. Imepakana na majimbo ya Pennsylvania, Michigan, Indiana, Kentucky na West Virginia. Upande wa kazkazini ni mpaka wa kimataifa na ng'ambo yake iko jimbo la Ontario katika Kanada. Mipaka asilia ni Ziwa Erie upande wa kazkazini na mto Ohio upande wa mashariki na kusini.

Mji mkuu pia mji mkubwa jimboni ni Columbus. Miji mingine mikubwa ni Cleveland, Cincinnati na Dayton.

Jina la Ohio limetokana na jina la Kiindio kwa mto mkubwa ulio mpaka wa kusini wa jimbo.

Ohio ina eneo la 116,096 km² linalokaliwa na wakazi 11,353,140.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ohio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Ohio

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy