23 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Oktoba ni siku ya 296 ya mwaka (ya 297 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 69.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1835 - Adlai Stevenson, Kaimu Rais wa Marekani (1893-1897)
- 1844 - Sarah Bernhardt, mwigizaji wa tamthilia kutoka Ufaransa
- 1905 - Felix Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 1908 - Ilya Frank, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 472 - Olybrius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 930 - Daigo, mfalme mkuu wa Japani (897-930)
- 949 - Yozei, mfalme mkuu wa Japani (884-887)
- 1456 - Mtakatifu Yohane wa Kapestrano, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1892 - Emin Pasha, daktari na mwanasiasa Mjerumani aliyefanya kazi katika Milki ya Osmani
- 1944 - Charles Glover Barkla, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1917
- 1986 - Edward Doisy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1943
- 2010 - George Cain, mwandishi wa Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Kapestrano, Servando na Jermano, Yohane na Yakobo, Theodoreto wa Antiokia, Severino wa Koln, Severini Boesyo, Yohane wa Siracusa, Romano wa Rouen, Benedikto wa Herbauge, Ignasi wa Konstantinopoli, Etefleda, Alucho, Paulo Tong Buong n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 13 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |