8 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Novemba ni siku ya 312 ya mwaka (ya 313 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 53.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1847 - Bram Stoker, mwandishi kutoka Ireland
- 1900 - Margaret Mitchell, mwandishi kutoka Marekani
- 1923 - Jack Kilby, mhandisi umeme kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2000
- 1970 - Diana King, mwimbaji wa kike kutoka Jamaika
- 1989 - Morgan Schneiderlin, mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 397 - Mtakatifu Martino wa Tours, askofu mmonaki wa kwanza katika Ukristo wa Magharibi
- 618 - Mtakatifu Papa Adeodato I
- 1308 - Mwenye heri Yohane Duns Scoto, O.F.M., padri na mwanafalsafa kutoka Uskoti
- 1890 - César Franck, mtunzi wa muziki kutoka Ubelgiji
- 1953 - Ivan Bunin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1933
- 2009 - Vitali Ginzburg, mwanafizikia kutoka Urusi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2003
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Simproniani na wenzake, Klaro wa Tours, Papa Adeodato I, Wileadi wa Brema, Godfredi wa Amiens, Yosefu Nguyen Dinh Nghi, Paulo Nguyen Ngan, Martin Ta Duc Thinh, Martin Tho, Yohane Mbatizaji Con n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |