Nenda kwa yaliyomo

Arthur Schawlow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Arthur Schawlow
Amezaliwa5 Mei 1921
Amefariki28 Aprili 1999
Kazi yakemwanafizikia


Arthur Leonard Schawlow (5 Mei 192128 Aprili 1999) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani.

Kama mtoto na kijana aliishi na kusoma nchini Kanada kabla hajarudi Marekani. Hasa alichunguza mnururisho na kubuni leza alipofanya kazi pamoja na Charles Townes. Mwaka wa 1981, pamoja na Nicolaas Bloembergen na Kai Siegbahn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.[1][2]

  1. "Arthur L. Schawlow". IEEE Global History Network. IEEE. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Hänsch, Theodor W. (Desemba 1999). "Obituary: Arthur Leonard Schawlow". Physics Today. 52 (12): 75–76. Bibcode:1999PhT....52l..75H. doi:10.1063/1.2802854.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Schawlow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy