Nenda kwa yaliyomo

Gottlieb Daimler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gottlieb Daimler

Gottlieb Daimler (17 Machi 18346 Machi 1900) alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1885 alibuni injini ya petroli kwa ajili ya magari na vyombo vinginevyo. Hii ilikuwa injini ya petroli ya kwanza iliyokuwa ndogo na kuzunguka haraka. Baada ya kuanzisha kampuni yake ya binafsi, aliuza motokaa ya kwanza mwaka wa 1892.

Kampuni yake iliunganishwa baadaye na ile ya Karl Friedrich Benz kutengeneza magari mashuhuri ya Daimler-Benz.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gottlieb Daimler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy