Nenda kwa yaliyomo

Jozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jozi ya viatu.
Jozi ya bata.

Jozi ni namna ya kutaja vitu viwili vilivyo pamoja na vinavyofanana. Ni namna nyingine ya kusema "mbili" lakini kwa kukazia tabia ya kuwa pamoja.

Neno linatokana na Kiarabu جوزاء jawza inayomaanisha pia "mapacha".

Mifano ya jozi za kawaida ni viatu, soksi, macho. Khanga zinauzwa mara nyingi kwa jozi.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy