Kaizari Aemilianus
Mandhari
Aemilianus (takriban 207 – Septemba 253) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa miezi kama mitatu katika mwaka wa 253 hadi kifo chake. Alimfuata Trebonianus Gallus.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Aemilianus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |