Nenda kwa yaliyomo

Kikombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vikombe vya udongo vilivyowekwa ndani ya sahani ndogo.

Kikombe (wingi vikombe) ni chombo cha mezani ambacho hutumiwa kunywa vinywaji kama chai au maji kilichotengenezwa kwa udongo wa kauri, madini, bati, chuma n.k.

Toka zamani vyombo hivyo vimepambwa na kuwa sehemu ya sanaa.

Katika Ukristo kikombe kinatumika pia kwa ajili ya divai katika ibada ya ekaristi na kuitwa pengine kalisi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikombe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy