Majira
Mandhari
Majira (kutoka neno la Kiarabu) au msimu ni sehemu ya mwaka ambayo ina tabia za pekee upande wa hali ya hewa.
Katika Dunia, majira yanapatikana kutokana na sayari hiyo kuligunzuka Jua na kuwa na mhimili usio wima.
Katika Afrika Mashariki mara nyingi yanajitokeza zaidi majira mawili ambayo ni majira ya mvua na kiangazi.
Katika maeneo yaliyo mbali na ikweta yanahesabika majira manne: majira ya kuchipua, majira ya joto, majira ya kupuputika majani na majira ya baridi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maris, Mihaela, St. Luchian School, Bacau, Romania, Seasonal Variations of the Bird Species, ref. ecological seasons pp. 195–196 incl. and pp. 207–209 incl.ya nje
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- When do the Seasons Begin? (from the Bad Astronomer)
- Why the Earth has seasons article on h2g2.
- Aboriginal seasons of Kakadu
- Indigenous seasons (Australian Bureau of Meteorology)
- Mt Stirling Seasons
- The Lost Seasons
- Melbourne's six seasons
- Tutorial on Earth/Sun Relations and Seasons
- Sunpreview Season Forecast Project
- Satellite photo demonstrating seasons changes in 2004 on NASA website Ilihifadhiwa 18 Machi 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Majira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |