Nyumbu
Mandhari
Nyumbu | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nyumbu kidevu-cheupe magharibi
(Connochaetes taurinus mearnsi) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 2, nususpishi 5:
|
Nyumbu (kwa Kiingereza: wildebeest) ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Connochaetes katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi C. taurinus mearnsi na C. t. albojubatus, lakini siku hizi spishi na nususpishi zote za Connochaetes huitwa nyumbu.
Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni nyeusi pengine na mng'aro buluu au kahawia.
Dume na jike wana pembe zenye umbo la zile za ng'ombe. Wanyama hawa hula nyasi fupi.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Connochaetes gnou, Nyumbu Mkia-mweupe (Black au White-tailed Wildebeest au Gnu)
- Connochaetes taurinus, Nyumbu Buluu (Blue au Brindled Wildebeest)
- Connochaetes t. albojubatus, Nyumbu Kidevu-cheupe Mashariki (Eastern White-bearded Wildebeest)
- Connochaetes t. cooksoni, Nyumbu wa Cookson (Cookson's Wildebeest)
- Connochaetes t. johnstoni, Nyumbu wa Nyasa (Nyassaland Wildebeest)
- Connochaetes t. mearnsi, Nyumbu Kidevu-cheupe Magharibi (Western White-bearded Wildebeest)
- Connochaetes t. taurinus, Nyumbu Kusi (Southern Wildebeest)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Nyumbu mkia-mweupe
-
Nyumbu kidevu-cheupe mashariki
-
Nyumbu kusi nchini Namibia
-
Nyumbu kusi kwa karibu
-
Nyumbu akiruka
-
Nyumbu na Swala Tanzania
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyumbu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |