Nenda kwa yaliyomo

Robert R. Davila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dk. Robert Davila (alizaliwa 19 Julai 1932) aliwahi kuwa rais wa tisa katika chuo kikuu cha Gallaudet[1][2], chuo kikuu pekee duniani ambacho programu na huduma zote zimeundwa mahususi kushughulikia wanafunzi viziwi na wasiosikia.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Robert Davila alizaliwa kusini mwa California kwa wazazi wa Mexico-Marekani ambao walifanya kazi katika mashamba na bustani. Akiwa na umri wa miaka kumi na moja, alipata ugonjwa wa uti wa mgongo akawa kiziwi.

  1. Presidents & Terms - Gallaudet University Archived 2009-02-21 at the Wayback Machine
  2. "About Dr. Robert R. Davila - Gallaudet University". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-12. Iliwekwa mnamo 2007-03-16.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert R. Davila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy