Şanlıurfa
Şanlıurfa (mara nyingi na katika lugha ya kila siku hujulikana kwa jina fupi kama Urfa; au kwa Kiaramu; Riha au Urhāy, kwa Kiarmenia Urhai, kwa Kiarabu الرها al-Raha; zamani ulikuwa ukitajwa kama Edessa) ni mji wenye wakazi takriban 462,923 (makadirio ya mwaka wa 2006[1]).
Mji upo kilomita 80 upande wa mashariki mwa mto Frati, kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, na ndio makao makuu ya Mkoa wa Şanlıurfa.
Hali ya hewa ni ya joto mno, kiangazi kikavu na baridi kiasi.
Idadi kubwa ya wakazi wa mji ni Wakurdi wakati maeneo mengine ya kanda kuna mchanganyiko wa Waarabu na Waturuki na idadi ndogo kabisa ya Wazaza, Wayezidi, Waarmenia na Wayahudi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Turkey Population statistics Ilihifadhiwa 6 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. Retrieved on 2009-06-30.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Old and new photos Ilihifadhiwa 21 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
- Sanliurfa Mayor's Office
- Sanliurfa News Ilihifadhiwa 8 Novemba 2019 kwenye Wayback Machine.
- Sanliurfa News Ilihifadhiwa 6 Agosti 2018 kwenye Wayback Machine.
- Urhoy - the mother of all cities in Mesopotamia Ilihifadhiwa 21 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine.
- Tourism information is available in English at the Southeastern Anatolian Promotion Project site. Ilihifadhiwa 21 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Şanlıurfa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |