Bikira Maria wa Fatima
Bikira Maria wa Fatima (jina rasmi: Bibi Yetu wa Rosari wa Fatima; kwa Kireno: Nossa Senhora do Rosário de Fátima) ni jina mojawapo la Bikira Maria lililotokana na njozi maarufu za mwaka 1917 walizozisimulia watoto watatu wa Fatima, Ureno: Lusia Santos na binamu zake Yasinta Marto na Fransisko Marto.
Njozi hizo zilithibitishwa na Kanisa Katoliki kuwa za kuaminika[1], hata ikaanzishwa kumbukumbu yake katika liturujia kila mwaka katika tarehe ya ile ya kwanza, 13 Mei[2].
Tarehe 13 Mei 1946, Papa Pius XII alikubali rasmi sanamu iliyotengenezwa kutokana na masimulizi hayo itiwe taji. Tarehe 11 Novemba 1954, alitangaza patakatifu pa Fatima kuwa basilika kwa hati Lucer Superna.
Umati wa waumini wanaohiji huko ili kukazia macho ya imani huyo Mama mwema sana kadiri ya neema ya Mungu aliyojaliwa, anayeaminika kushughulikia daima matatizo ya watu, unavutiwa kuongoka na kuombea wakosefu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Papa Pius XII, Papa Paulo VI, Papa Yohane Paulo II, Papa Benedikto XVI na Papa Fransisko walikubali asili ya Kimungu ya njozi za Fatima.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Alonso, Joaquín María (1976). La verdad sobre el secreto de Fátima: Fátima sin mitos (kwa Spanish). Centro Mariano "Cor Mariae Centrum". ISBN 978-84-85167-02-9. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2010.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - Alonso, Joaquin Maria; Kondor, Luis (1998). Fátima in Lúcia's own words: sister Lúcia's memoirs. Secretariado dos Pastorinhos. ISBN 978-972-8524-00-5. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2010.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Cuneo, Michael. The Vengeful Virgin: Studies in Contemporary Catholic Apocalypticism. in Robbins, Thomas; Palmer, Susan J. (1997). Millennium, messiahs, and mayhem: contemporary apocalyptic movements. Psychology Press. ISBN 978-0-415-91649-3. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2010.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - De Marchi, John (1952). "The Immaculate Heart". New York: Farrar, Straus and Young.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Invalid|ref=harv
(help) - Ferrara, Christopher (2008). The Secret Still Hidden. Good Counsel Publications Inc. ISBN 978-0-9815357-0-8. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-15. Iliwekwa mnamo 2017-02-08.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Frère François de Marie des Anges (1994). "Fátima: Tragedy and Triumph". New York, U.S.A.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Invalid|ref=harv
(help) - Frere Michel de la Sainte Trinite (1990). "The Whole Truth About Fátima, Volume III". New York, U.S.A.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Invalid|ref=harv
(help) - Kramer, Father Paul (2002). The Devil's Final Battle. Good Counsel Publications Inc. ISBN 978-0-9663046-5-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-07. Iliwekwa mnamo 2017-02-08.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Haffert, John M. (1993). Her Own Words to the Nuclear Age: The Memoirs of Sr. Lúcia, with Comments by John M. Haffert. The 101 Foundation, Inc. ISBN 1-890137-19-7.
- Joe Nickell: Looking for a Miracle: Weeping Icons, Relics, Stigmata, Visions & Healing Cures: Prometheus Books: 1998: ISBN 1-57392-680-9
- Nick Perry and Loreto Echevarria: Under the Heel of Mary: New York: Routledge: 1988: ISBN 0-415-01296-1
- Sandra Zimdars-Swartz: Encountering Mary: Princeton: Princeton University Press: 1991: ISBN 0-691-07371-6
- Walsh, William:Our Lady of Fátima: Image: Reissue edition (1 October 1954): 240 pp: ISBN 978-0385028691
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Angalia mengine kuhusu Our Lady of Fátima kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Sanctuary of Fátima – Official website
- The Chapel of Apparitions – Online transmissions
- Online version of the book: "Fátima in Sister Lúcia’s own words" Ilihifadhiwa 9 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine. (in PDF format free to download)
- Online version of the book: "Fátima in Sister Lúcia’s own words" Ilihifadhiwa 30 Julai 2016 kwenye Wayback Machine., all five memoirs, with background information and explanatory material.
- Official Vatican statement releasing the message of Fátima
- The Wax Museum of Fátima
- Wax Museum "Life of Christ" in Fátima Ilihifadhiwa 5 Desemba 2011 kwenye Wayback Machine.
- Sacred Destinations: Shrine of Our Lady of Fátima (Portugal)
- Eternal Word Television Network (EWTN) and Our Lady and Islam: Heaven's Peace Plan Ilihifadhiwa 23 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine. Relationship between Mary, Islam and the Fátima apparitions.
- "The True Story of Fátima" Ilihifadhiwa 29 Juni 2011 kwenye Wayback Machine. - Book by John De Marchi containing first-person accounts, including those of newspaper reporters and the children themselves. Entire text online.
- The 13th Day - 2009 film about Fátima, produced by Ian and Dominic Higgins
- "The Call To Fátima" Documentary about the story and the message, explaining Lúcia's book Calls of the Fátima Message.
- United Nations' pilgrim statue of Our Lady of Fátima
- High Resolution image of Our Lady of Fátima Ilihifadhiwa 6 Juni 2014 kwenye Wayback Machine.
- Pictures of Fátima Ilihifadhiwa 18 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Our Lady of Fátima, "All About Mary" The University of Dayton's Marian Library/International Marian Research Institute (IMRI) is the world's largest repository of books, artwork and artifacts devoted to Mary, the mother of Christ, and a pontifical center of research and scholarship with a vast presence in cyberspace.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bikira Maria wa Fatima kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |