Mwongozo Wa Nguu Za Jadi

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

NGUU ZA JADI

COMPREHENSIVE GUIDE

This PDF Comprises of Part of the guide for the

named Set Book above

For Marking Schemes:

Contact Mr Machuki
0724333200
0795491185
0768321553
Or Order online at
www.kenyaeducators.co.ke

KENYA EDUCATORS CONSULTANCY

Compiled and distributed by Kenya Educators Consultancy-0724333200

Order marking Schemes online at www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0795491185
NGUU ZA JADI COMPLETE GUIDE
FOR HIGH SCHOOLS

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER COMPLETE SETBOOK GUIDES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
About the book:
Education is a key for a country’s development, but it
becomes a hindrance when it is unequally distributed. This
big problem of disparity in Education system can be solved
through technology. Hence it’s high time we embrace
technology in Education sooner than later.

Teachers will therefore use the book in their laptops to teach

and even give students notes to read online after revision.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER COMPLETE SETBOOK GUIDES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
MWONGOZO WA NGUU ZA JADI
Jalada, Anwani na Muhtasari

Katika jalada la riwaya ya Nguu za Jadi, kuna vitu anuwai vinavyoonekana, na

vinaweza kuwa na fasiri mbalimbali kwa wasomaji tofautitofauti. Vitu vilivyopo
kwenye mchoro wa jalada hilo ni:

a) Picha ya mwanamume mzee anayemzungumzia mvulana. Kutokana na

wanavyoonekana, ni wazi wamefunikwa kwa kiwango cha haja na giza. Hii
inaweza kuchukuliwa kama ishara ya mtoto wa kiume ambaye ametanzwa na
matatizo, ambaye hajapewa hadhi anayostahili katika jamii, kama
inavyoonekana baadaye kwenye riwaya yenyewe.

b) Mbele ya picha ya mwanamume anayemzungumzia mvulana kuna uwanja

usiokuwa na mimea, pengine kutokana na uharibifu wa mazingira, jambo
ambalo pia linajitokeza ndani ya riwaya.

c) Mbele huko kuna miti ambayo imefunikwa na giza kiasi, ambayo inaweza
kuchukuliwa kuwakilisha matumaini yaliyonyimwa nafasi ya kujitokeza
vizuri.

d) Nyuma ya miti kuna mlima mkubwa ulio na vilele (nguu) ambavyo vina
mwangaza juu. Hii inaweza kuchukuliwa kuwa ishara ya matatizo (mlima) na
suluhu inayopendekezwa na mwandishi ya kukabiliana na nguu (vikwazo) za
tangu jadi zinazotatiza maendeleo ya jamii.

e) Nyuma ya mlima kuna mwanga hafifu unaojitokeza. Mwanga huu unaweza

kuchukuliwa kuwa kiwakilishi cha matumaini mapya kwamba jamii
iliyokumbwa na matatizo mengi kwa muda mrefu hatimaye inapata mwanga,
kama inavyofanyika kwenye riwaya Lonare anapochaguliwa kuwa mtemi,
jambo linaloipa nchi ya Matuo matumaini mapya ya mabadiliko chanya.

Ufaafu wa Anwani: Nguu za Jadi

Nguu ni vilele vya milima. Katika riwaya hii, neno hili limetumiwa kisitiari,
kuwakilisha vikwazo au matatizo yanayokumba jamii inayozungumziwa. Kwa hivyo,
Nguu za Jadi ni vikwazo ambavyo vimekuwepo kama desturi au kanuni za maisha,
na ambavyo vinadumaza maendeleo ya jamii.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER COMPLETE SETBOOK GUIDES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
Mifano ya vikwazo hivyo kutoka katika riwaya ni: Mila ambazo zinawadunisha
wanawake na kuwanyima uhuru wa kujiendeleza. Mifumo ya uongozi mbaya
inayosababisha ufisadi, ukabila, utabaka, ubinafsi, hali ya kutowajibika, ufujaji wa
mali za umma, uharibifu wa mazingira, ukiukaji wa haki za watoto, ukatili na wizi
wa mali ya umma.
Mifumo wa ubabedume uliokolea taasubi ya kiume wenye kudhalilisha
wanawake na watoto wa kike.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER COMPLETE SETBOOK GUIDES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
For Complete Setbook guides and Similar
Resources:
Order online at:

www.kenyaeducators.co.ke
or
Contact:

Mr Machuki – 0724333200
kenyaeducators@gmail.com
KENYA EDUCATORS CONSULTANCY

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.

Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER COMPLETE SETBOOK GUIDES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185

You might also like

pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy