Pata faida zaidi kutokana na pesa zako kwa kasi ya Uber
Uber Money inakupa huduma za kifedha zinazokusaidia kufikia, kusimamia na kuongeza tija kwenye pesa zako, huku ikukuwezesha kufikia fursa za kiuchumi unazotaka.
Uber Wallet
Wallet ndiyo sehemu mpya zaidi ya kuweka pesa zako kwenye Uber. Fuatilia historia ya mapato na matumizi yako, usimamiei na uhamishe pesa zako na utambue huduma mpya za kifedha zote hizi unazipata sehemu moja kwa urahisi.
Uber Debit Card
Fikia mapato baada ya kila safari na uzidishe pesa zako kupitia huduma ya kuweka akiba kwa kurejeshewa sehemu ya pesa unazotumia moja kwa moja. Angalia Wallet yako ili uone ikiwa Debit Card inapatikana katika eneo lako.
Weka bajeti na uifuate. Uber Cash inakuwezesha kuchagua kiasi cha kulipa mapema katika safari na oda zijazo.
Uber Pay
Uber Pay inawezesha washirika kujiunga kwa urahisi kwenye mfumo wetu. Tumia API yetukuwezesha njia mpya za malipo kwa urahisi katika Uber na ukuze kiasi cha muamala wako, au ufurahishe wateja wako kwa kubadilisha pointi za uanachama kuwa Uber Cash.
Kuhusu