UNICEF inafanya kazi na wadau wake kuhamasisha uelewa kuhusu hatua za kuzuia kuenea kwa janga la ugonjwa wa mpox. Pichani ni Parfait Muhani, Msimamizi wa Mradi katika shirika lisilo la kiserilali inayoungwa mkono na UNICEF, anaelimisha watoto kuhusu dalili za mpox na hatua za kuzuia.
© UNICEF/Mirindi Johnson