Content-Length: 153715 | pFad | http://news.un.org/sw/

Habari za UN | Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Wahamiaji na Wakimbizi Usafirishaji haramu wa wahamiaji ni uhalifu unaofanywa ili kupata faida, unaoendeshwa na hitaji la kuvuka mipaka nje ya njia za kawaida na kuathiri nchi nyingi kote kote duniani.

Habari Nyinginezo

Amani na Usalama Siku kumi na moja tangu kukoma kwa utawala wa kiimla uliodumu kwa miongo mitano nchini Syria, viongozi wa ngazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa wamendelea kusisitiza hitaji la kutanguliza ulinzi wa manusura na uhifadhi wa ushahidi wa uhalifu.
Amani na Usalama Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kisiasa Rosemary DiCarlo leo ameliambia Baraza la Usalama kwamba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) inajitajidi kufanya kila liwezekanalo kupanua wigo wa uwezo wake wa kijeshi wa urushaji wa makombora, mpango wa nyuklia na ushirikiano wa kijeshi na Urusi.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://news.un.org/sw/

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy