Bembea Ya Maisha Marudio Mfululizo Wa 2

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 20

BEMBEA YA MAISHA

MFULULIZO WA 2 (DONDOO)

Maswali Matarajiwa ya dondoo Katika


Mtihani Mkuu wa KCSE

MFULULIZO WA PILI

Ukihitaji majibu,

Pigia Bw. Isaboke 0746 222 000


AU 0742 999 000

MWALIMU CONSULTANCY
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

MARUDIO HALAHALA-MASWALI
1."Maji yangekuwa yamewafika shingo Badi wangeshindwa kuishi
Pamoja.Ndoa ni bembea.Kuna wakati itakuwa juu na wakati mwingine chini"
a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b)Tambua mbinu za kimtindo katika dondoo hili(al.4)
c)Tambua maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili (al.2)
d)Eleza maudhui uliyotaja hapo juu(al.10)

2."Mungu hakupi yote.Akikupa hiki,anakunyima kile."


a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.kwa kurejelea tamthilia nzima,fafanua jinsi wahusika wamepewa hiki na
kunyimwa kile.(al.16)
(I)kupewa hiki(al.8)
(II)Kunyimwa hiki.(al.8)

3."kukosa Kwa namna yoyote ni umaskini.Mtu Huwa maskini Wa asichokuwa


nacho"
a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Tambua maudhui katika dondoo hili
c.Fafanua maudhui uliyotambua Kwa kurejelea tamthilia nzima.(al.14)

4."Gongo limeyamega maadili yake kimyakimya na utaratibu Wa


uwajibikaji..."
a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Tambua mbinu za lugha katika dondoo hili.(al.4)
c.Tambua maudhui katika dondoo hili.(al.2)
d.Fafanua athari za maudhui uliyotambua.(al.10)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 2
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)
5."kumbe watoto Hawa tuliowadharau walikuwa nyota ya jaha."
a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua jinsi watoto wanaorejelewa walidharauliwa.(al.10)
c.Fafanua namna watoto Hawa wamekuwa nyota ya jaha.(al.6)

6.Baada ya dhiki Faraja.Faraja ni zao LA dhiki.leo kikapu Cha mama kimejaa


ndango"
a)Weka dondoo hili katika muktadha wake (al.4)
b)Taja mbinu mbili za lugha katika dondoo hili (al.4)
c)Taja maudhui mawili yanayojitokeza katika dondoo hili (al.4)
d.kwa kurejelea tamthilia nzima, thibitisha ukweli Wa kauli kuwa 'baada ya dhiki
faraja'(al.8)

7."Maisha ya siku hizi SI maji ya kunywa.Yana mashaka tumbi nzima."


a.Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)
b. Thibitisha kuwa Maisha Yana mashaka tumbi nzima.(al.16)

8.'Alitafunwa kama chingamu lakini naye hakuwa chingamu ya kuisha


sukari'(UK.6)
a).Eleza muktadha wa dondoo hili.(Al.4)
b.Bainisha mitindo miwili katika dondoo hili.(al.4)
c)Eleza umuhimu Wa mrejelewa katika kuijenga tamthilia ya 'Bembea ya
Maisha(al.12)

9."Mila hizi zinatufanya watumwa"(UK.24)


Eleza muktadha wa dondoo hili (al.4)
b.Fafanua namna Mila zimewafanya watu kuwa watumwa.(al 6)
(c)Eleza umuhimu Wa mzungumziwa katika tamthilia (al.10)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 3
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)
10."Mizigo yangu ya majukumu ni mengi"(UK.27)
a.Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)
b.Thibitisha kauli'mizigo yake ya majukumu ni mingi'kwa kurejelea tamthilia
nzima.(al.8)
(c)Eleza umuhimu Wa mzungumzaji Wa maneno haya(al.8)

11.'Ajali Ile ilikuwa mbaya.Majeruhi walihitaji muda Wa kitunzwa'


a.Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)
(b)Tambua mbinu Moja ya lugha katika dondoo hili.(al.2)
c.Fafanua matumizi ya mbinu uliyotambua hapo juu.(al.14)

12."...mrina haogopi nyuki.."(UK.18)


(a)Eleza muktadha wa dondoo hili(al.4)
(b) Thibitisha kuwa msemaji Wa kauli hii ana hekima(al.8)
(c)Eleza umuhimu Wa msemewa katika kuijenga tamthilia (al.8)
This Copyright Work belongs to Mwalimu Consultancy 0746222000.

13."Kule shuleni hawafundishi kunga za ndoa.Ndoa ni mtihani mkubwa


kabisa"(UK.53)
a)Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)
b)Tambua sifa nne za mzungumzaji (al.4)
c.Fafanua jinsi ndoa ni mtihani mkubwa(al.12)

14."...Kila limfikalo mwanadamu ni mpango Wa manani.."(UK.12)


(a)Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)
(b) Thibitisha kauli kwamba 'kila limfikalo mwanadamu ni mpango Wa
manani'(al.16)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 4
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

15."Kazi hizi ni kama safari ya ahera;..."(UK.23)


a.Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)
b.Tambua maudhui katika dondoo hili.(al.2)
c.Fafanua maudhui uliyotambua Kwa kurejelea tamthilia nzima.(al.14)

16.'Basi tu!Wenzenu ndio walioniingiza katika mkondo huu.kama


unakumbuka,nilikuwa miongoni mwa vijana Wa kwanza kuingia Dini.Hata
tulikuwa tunahubri,"
a)weka dondoo hili katika muktadha wake (al.4)
b)Eleza madhara ya msemaji kuingia katika mkondo unaorejelewa(al.16)

17."Lakini katika vicheko vyetu zimezikwa kero zetu. Wanavyosema,


muungwana hununa moyoni,siyo usoni"
a)weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b)Kwa kurejelea tamthilia nzima,jadili matatizo yanayoikumba jamii.(al.14)

18."Ukilazwa tayari unakuwa meonja seli.Hata wahudumu wenyewe hawana


mlahaka mwema.Amri na vitisho kama askari"
a)Weka dondoo hili katika muktadha wake (al.4)
b)Taja mbinu mbili za kimtindo zilizojitokeza katika dondoo hili.
c)Eleza sifa 4 za msemaji(al.4)

19."Mgala muue na haki umpe"


a)Weka dondoo hili katika muktadha wake (al.4)
b)Tambua mbinu ya uandishi katika dondoo hili (al.2)
c)Eleza umuhimu Wa mbinu uliyotaja hapo juu (al.2)
d)Kwa kurejelea tamthilia nzima,Eleza jinsi mbinu hiyo imetumika(al.12)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 5
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

20."Mwanangu,usifanye hofu.Nikujuavyo Mimi,hukuingia katika bahari SI


yako.wala hakuna refu lisilokuwa na ncha.Yote Yana kikomo eti.ipo siku haya
yote yatapita.Mkulima Hodari ni libasi yake Huwa imechanika na kuchoka
lakini moyoni anabaki safi kama theluji Kwa kutosheka na tija ya sulubu
zake.Huwezi kumlinganisha na mkulima Wa nguo safi zilizopigwa pasi
zikanyooka"
a)Weka dondoo hili katika muktadha wake (al.4)
b)changanua mbinu za kimtindo katika dondoo hili.
c)Jadili changamoto alizopitia msemaji Wa maneno haya.

21."Maskini mke wangu!Kumbe ugonjwa hukumsaza mwaka baada ya


mwaka.umemla bila huruma.Awali niliona kama mchezo.kumbe ilikuwa
kweli!kauli yake naona inasimama.Ni mwele hakika.Laiti ningalijua
Jana,ningeishi tofauti.Silesi zetu za Maisha tungezila zilivyokuja Kwa
furaha."

a)Eleza muktadha wa dondoo hili (al.4)


b)Changanua mtindo katika dondoo hili (al.6)
c)Tambua maudhui matatu katika dondoo hili(al.6)
d)Tambua Toni mbili katika dondoo hili.(al.4)
e)Eleza umuhimu Wa msemaji Wa maneno haya katika kujenga maudhui katika
tamthilia.(al.8)

22."kumbuka mrina haogopi nyuki.Marehemu mamangu aliishi kutuambia


kuwa nguvu hazimwishi mwanadamu Wala hazipotei bure-humalizwa tu na
mabuu.Mwanangu usifanye hofu.Nikujuavyo Mimi, hukuingia katika bahari
SI yako"

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 6
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

a)Eleza muktadha wa dondoo hili (al.4)


b)Fafanua mbinu za kimtindo zilizotumika katika dondoo hili.(al.4)
c)Eleza sifa za msemaji Wa maneno haya (al.12)

23.Haidhuru.umenirudisha nyuma katika siku zile za ujana wangu.Asubuhi


Niko skuli majira ya alfajiri.kiboko mkonono,anayekuja baada yangu hata
kama hajachelewa Alikuwa Hana lake.siku nzima kazi tu.sio siku hizi,huwezi
kumnyoosha mtoto Kwa kiboko.Vitabu navyo nilikuwa navifunga Kwa baiskeli
kwenda kuvisahihisha wikendi(UK.62)

a)Fafanua mbinu za kimtindo katika dondoo hili (al.10)


b)Eleza maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili (al.10)

24. "Mwache mtoto apumzike. Hivi atayashika mangapi? (alama4)


(a) Eleza muktadha wa dondoo
(b) Eleza umuhimu wa toni ya msemaji wa kauli hii (alama2)
(c). Mjadala huu unabainisha majukumu ya watoto kwa wazazi. Thibitisha kwa
kuonyesha wazi alivyowajibika anayerejelewa na msemaji katika
mjadala.(alama4)
(d) Eleza umuhimu wa msemewa katika dondoo hili katika kujenga tamthilia ya
Bembea ya Maisha (alama5)
(e) Eleza sifa tano za mzungumzaji katika dondoo hii (alama5)

25. Maskini mke wangu! Kumbe ugonjwa haukumsaza mwaka baada ya mwaka.
Umemla bila huruma. Awali niliona kama mchezo. Kumbe ilikuwa kweli! Kauli
yake ninaona imesimama. Ni mwele hakika. Laiti ningejua, jana ningeishishi
tofauti. Silesi zetu za maisha tungezila zilivyokuja kwa furaha. Siku
hazigandi wala jana haitarudi. Sasa jana imebaki kuwa kumbukizi baaada ya

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 7
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)
kusombwa na wakati mfano wa mafuriko msimu wa masika. Kwa bahati nzuri
bado tupo. Ninaweza kuiachia dunia tabasamu iwe silesi kwa vizazi vijavyo
na kila mwenye nia njema. Siwezi kuendelea kuishi hivi. Sasa nimekata
shauri. Lazima niache njia ya zamani na kuifuata mpya. Maisha mapya.
Pombe! Umenichezesha kama mwanasesere kwa muda mrefu. Umeninyima
fursa ya kuilewa familia yangu. Hapana! Siku zangu za uzeeni lazima
nizitumie kumwangalia mke wangu mgonjwa. Lazima nimshukuru kwa vitendo
kwa jinsi alivyojitolea kuijenga familia yetu. Kwaheri pombe. Buriani.
(a) Changanua mtindo (alama6)
(b) Tambua maudhui yoyote matatu yanayojitokeza kwenye kifungu (alama6)
(c) Tambua toni mbili inayojitokeza kwenye dondoo hili (alama4)
(d) Eleza umuhimu wa msemaji wa maneno haya (alama4)

26. "Mwanangu usifanye hofu. Nikujuavyo mimi, hukuingia katika bahari si


yako. Wala hakuna refu lisilokuwa na ncha. Yote yanakikomo eti. Ipo siku
haya yote yatapita. Mkulima hodari ni libasi yake huwa imechakaa na
kuchoka lakini oyoni anabaki safi kama theluji kwa kutosheka na tija ya
sulubu zake. Huwezi kumlinganisha na mkulima wa nguo safi zilizopigwa pasi
zikanyooka"
Chambua mtindo (alama10)
Jadili changamoto alizopitia msemewa wa maneno haya (alama10)

27. Mwanangu binadamu mchoyo kwa lake lakini mkarimu ajabu kwa la
mwenziwe. Atakukirimu kwa la mwenziwe na atakupa nyongeza usiyohitaji
lakini atalizika katika giza kina cha moyo wake. Ndiyo hulka yake hiyo mwana
wa Adamu. '
a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama4)
b) Jadili sifa za msemaji wa maneno haya. (alama6)
c) Fafanua umuhimu wa mazungumzo kati ya msemaji na msemewa katika kujenga
tamthilia ya Bembea ya Maisha. (alama10)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 8
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

28."Maisha ya sasa hayana fundi. Yanamwendesha kila mtu kama tawi


lilsilosukumwa hadi likang' Oka kutoka tagaani na kupeperushwa na upepo"
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama4)
(b) Tambua vipengele vya kimtindo katika dondoo hili (alama2)
(c) Eleza sifa nne za msemewa (alama4)
(d) Thibibitisha kauli ya msemaji ukirejelea tamthilia nzima (alama10)

29. "Kumbuka mrina haogopi nyuki. Marehemu mamangu alozoea kutuambia


kuwa nguvu hazimwishi mwanadamu wala hazipotei bure; humalizwa tu na
mabuu.. usifanye hofu. Nikujuavyo mimi, hukuingia katika bahari si yako.
Wala hakuna refu lisilokuwa na ncha. Yote yanakikomo eti. Ipo siku haya
yote yatapita. Mkulima hodari ni libasi yake huwa imechakaa na kuchoka
lakini moyoni anabaki safi kama theluji kwa kutosheka na tija ya sulubu
zake. Huwezi kumlinganisha na mkulima wa nguo safi zilizopigwa pasi
zikanyooka"

(a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama4)


(b) Tambua mbinu za kimtindo zilizotumika katika dondoo. (alama4)
(c) Eleza sifa za msemaji (alama6)
(d) Tambua maudhui mawili yanayojitokeza katika kifungu hiki. (alama2)
(e) Fafanua maudhui katika swali la (e) kwa kurejelea tamthilia nzima. (alama4)

30. "Ukilazwa tayari unakuwa umeonja seli. Hata wahudumu wenyewe hawana
mlahaka mwema. Amri na vitisho kama askari."
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili
(alama4)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 9
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

(b) Ainisha mbinu mbili za kimtindo katika dondo hili


(alama2)
(c) Eleza sifa nne za msemaji
(alama4)
(d) Dhibitisha kuwa mahali panaporejelewa palikuwa kama seli
(alama4)
(e) Jadili maudhui ya utepetevu kama yanavyojitokeza katika
tamthilia nzima (alama6)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 10
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

Ukihitaji majibu,

Pigia bw. Isaboke

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 11
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

THE END

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 12
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

SET BOOKS AVAILABLE WITH US


 Artist Of The Floating World
 Bembea Ya Maisha
 Mapambazuko Ya Machweo
 Nguu Za Jadi
 Fathers Of Nations
 Silent Songs And Other Stories
 A Parliament Of Owls
 The Samaritan

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 13
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

OTHER SETBOOKS GUIDES AVAILABLE

SETBOOK GUIDE QUESTIONS VIDEOS CONTACT


&
ANSWERS
Bembea Ya Maisha
0746-222-000
  
Mapambazuko Ya
Machweo 0746-222-000
  
Nguu Za Jadi
0746-222-000
  

ENGLISH SETBOOKS
Fathers Of Nations
0746-222-000
  
Silent Songs And
Other Stories 0746-222-000
  
A Parliament Of
Owls 0746-222-000
  
The Samaritan
0746-222-000
  
Artist Of The
Floating World    0746-222-000

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 14
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

FOR THE FOLLOWING;


 ONLINE TUITION
 REVISION NOTES
 SCHEMES OF WORK
 SETBOOKS VIDEOS
 TERMLY EXAMS
 QUICK REVISION KITS
 KCSE TOPICALS
 KCSE PREMOCKS
 TOP SCHOOLS PREMOCKS
 JOINT PREMOCKS
 KCSE MOCKS
 TOP SCHOOLS MOCKS
 JOINT MOCKS
 KCSE POSTMOCKS
 TOP SCHOOLS PREDICTIONS
 KCSE PREDICTIONS
 KCSE REVEALED SETS

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 15
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

CALL/TEXT/WHATSAPP

0746 222 000


OR
0742 999 000

mwalimuconsultancy@gmail.com

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 16
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

This is a Product of Mwalimu Consultancy


Ltd.

Powered by Mr Isaboke

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 17
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

SUCCESS

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 18
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

REGARDS

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 19
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA (S2)

MFULULIZO WA 2- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 20

You might also like

pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy