Content-Length: 155482 | pFad | http://news.un.org/sw/audio-hub

Kabrasha la Sauti | 1 Habari za UN
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

Sinergias/Wilber Caballero

Kupata taarifa sahihi kutoka kwa wataalamu wa afya ni muhimu kama ilivyo kujiandaa - Ugonjwa wa HMPV

Huku kukiwa na ripoti za kuongezeka kwa maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa kupumua vikiwemo virusi vya metapneumovirus (HMPV) wakati huu wa msimu wa baridi nchini China na kuleta hofu ulimwenguni kuhusu uwezekano wa kutokea kwa janga jingine la ugonjwa kama ilivyokuwa Covid-19, mamlaka ya afya nc

Sauti
2'9"
UN News/Assumpta Massoi

Faida ya magari ya umeme inaweza isionekane kwa sasa lakini si muda mrefu yatakuwa na manufaa kwa mazingira na uchumi

Kijana Mtanzania Gibson Kawago hivi karibuni kupitia kampuni yake ya WAGA inayoshughulika na uvumbuzi wa teknolojia zinazolenga kupambana na uchafuzi wa mazingira ya ulimwengu, ametangaza kuanzisha vifaa vinavyotumika kuchaji magari ya umeme lengo likiwa ni kuwasaidia watu wa eneo lake, Afrika Ma

Sauti
3'39"








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://news.un.org/sw/audio-hub

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy