Nilikuwa miongoni mwa Wacuba wa kwanza kujifunza Kiswahili: Profesa Juan Jacomino
Ujumuishwaji wa lugha mbalimbali katika dunia iliyoshikamana katika nyanja mbalimbali ni moja ya malengo ya Umoja wa Mataifa kuanzia katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa hadi kwenye nchi wanachama unalichagiza hilo.