Content-Length: 157649 | pFad | http://news.un.org/sw/news/region/asia-pacific

Asia Pasifiki | Habari za UN
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Asia Pasifiki

Mfanyakazi wa IOM akiwasajili wahamiaji kutoka Ethiopia huko Ma'rib, Yemen, kabla ya kusafiri kwenda Addis Ababa.
© IOM Yemen/Elham Al-Oqabi

Baada ya kunusuriwa na programu ya IOM, mhamiaji kutoka Ethiopia asema katu hatorudi Yemen - IOM

Janga la kibinadamu likizidi kushika kasi nchini Yemen, shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM linaongeza kasi ya mpango wake wa kurejesha wahamiaji nyumbani kwa hiari, VHR. Mradi huu hupatia wahamiaji waliokwama njia salama ya kurejea nyumbani kwao. Kupanuliwa kwa mradi huu kunafuatia idadi ya wahamiaji nchini Yemen kuongezeka na kufikia 6,300 mwezi Oktoba mwaka huu, kwa mujibu wa mfuko wa IOM wa  Ufuatiliaji wa wahamiaji.

Sauti
4'15"
F. Lattlandiki, Mkuu wa Mauzo na Masoko katika kampuni ya Dairei ya kusindika ndizi nchini India
IFAD

Ona jinsi uwekezaji mdogo wa IFAD ulivyoinua kaya zinazolima ndizi India

Kutana na  F. Lattlandiki ambaye anasema unaweza pia kumwita Didiki, yeye ni Meneja wa Kampuni ya Dairei ya kusindika zao la ndizi na ana umri wa miaka 26. Didiki ni mwanafunzi wa masomo ya biashara na anasema anapenda sana kufanya biashara. Didiki anafanya kazi katika kampuni ya familia yao iitwayo Dairei iliyoko wilaya ya Mizoram kaskazini-mashariki mwa India, barani Asia, eneo ambako zao la ndizi linalimwa zaidi.


 

Sauti
3'37"








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://news.un.org/sw/news/region/asia-pacific

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy