Tetemeko Teibet: Umoja wa Mataifa uko tayari kusaidia – Katibu Mkuu UN
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameeleza kusikitishwa sana na vifo vya watu vilivyosababishwa na tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 7.1 kwa vipimo vya richa lililopiga leo Januari 7 eneo la Tibet linalojitawala nchini China.