Katika zama hizi za mvutano, tulivyo kwenye hatari ya kutumbukia kwenye korongo huko Mashariki ya Kati, ni wajibu wangu kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa natoa maombi makuu mawili. Kwa Hamas, mateka wote waachiliwe huru haraka bila masharti. Kwa Israeli, fungua njia haraka bila vikwazo ili misaada ya kibinadamu na wahudumu wa kiutu kwa ajili ya raia Gaza.
Katibu Mkuu wa UN katika taarifa yake kuhusu Mashariki ya Kati 15 Oktoba 2023