Pakua habari za UN kutoka kwenye apu
UN News app ni mahali pa kupata taarifa za kila siku, muda huo huo zinapotokea, pamoja na matukio kutoka Umoja wa Mataifa kwa njia ya video, maelezo, picha na sauti. Unaweza kuitumia ‘programu tumizi’ hii katika lugha ya Kiswahili, Kiarabu, Kichina, Kiingereza,Kifaransa, Kireno, Kirusi au Kispaniola.
- Pakua app kutoka Apple Store kwa ajili ya Ipone au iPad – iOS
- Pakua app hii kutoka Google Play kwa ajili ya vifaa vya Android.
Yaliyomo ni pamoja na:
- Taarifa za dunia kuhusu amani na usalama, maendeleo endelevu, haki za binadamu, mabadiliko ya tabianchi na mengine.
- Unayo nafasi ya kuchagua habari unazotaka zikufikie kwenye ncha za vidole vyako.
- Programu za habari, video, sauti pia Podcast.
- Habari kwa kina, makala za picha, ripoti kutoka mashinani na mahojiano ya viongozi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa pamoja na wanadiplomasia.
- Tazama mumbashara mikutano ya Baraza la Usalama na Baraza Kuu.
- Tazama video kuhusu mambo yote makubwa ya Umoja wa Mataifa.
- Fuata mitandao ya kijamii kupitia mitandao mbalimbali.
- Ingia katika Tovuti kuu UN.org