Content-Length: 151863 | pFad | http://news.un.org/sw/focus-topic/mashariki-ya-kati

Mashariki ya Kati | Habari za UN
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Mashariki ya Kati

Beth Bechdol (kwenye skrini), Naibu Mkurugenzi Mkuu wa FAO, akitoa taarifa katika mkutano wa dharura ya Baraza la usalama kuhusu hali nchini Sudan.
UN Photo/Manuel Elías

Baraza la Usalama: Zaidi ya watu milioni 11 ni wakimbizi wa ndani sudan na milioni 8 nje ya nchi na hali inaendelea kuwa tete

Baraza la Usakama la Umoja wa Mataifa leo limesikia kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayoendelea nchini Sudan kuhuku kukiwa na watu milioni 11.5 ambao wamelazimika kuwa wakimbizi wa ndani na milioni 8.5 miongoni mwao wametawanywa tangu Aprili 2023 na watu zaidi ya milioni 3 wamekimbilia nje ya nchi amesema Edem Wosornu mkurugenzi wa kitengo cha utetezi na operesheni katika ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA.

Mama akimtunza mwanawe na bintiye waliojeruhiwa katika shambulio la anga katika mji wa Gaza. (Maktaba)
© UNICEF/Abed Zaqout

Mwanangu amepata kilema cha maisha sababu ya vita isiyokoma Gaza: Mzazi wa Mahmooud

Baada ya miezi 14 ya vita Gaza maelfu ya watu wakiwemo watoto wamesalia na ulemavu wa maisha kwa kulazimika kukatwa viungo kutokana na kujeruhiwa katika vita inayoendelea kwa miezi 15 akiwemo mtoto wa umri wa miaka 7 Mahmmoud ambaye sasa amepooza baada ya kupigwa risasi mgongoni na anahitaji huduma za haraka za afya ili akatibiwe limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA. 

Sauti
2'








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://news.un.org/sw/focus-topic/mashariki-ya-kati

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy